1.fanya utafiti ujue ni mtu wa mtazamo gani ,nini anapenda na nini apendi,anapenda mwanamke wa aina gani kuanzia (umbo, tabia ,dini na vinginevyo),nk
2.linganisha interests/hobbies zenu zinaendana
3.ukiona 1 &2 viko ok anza kuwa secret admirer online(facebook,email,),ukiona mambo yanaenda vizuri hapo ndio uanze kijipitisha pitisha,eye contact kwa sana,smile all z time,jua maeno gani anaendaga unajifanya mmekutana kwa kibahati
4.USITHUBUTU kumwambia,kwa vile ni mtu mzima na ana akili timamu,atajua tu ndie secret admirer wake,kama naye anakupenda atakutokea uiona kimya ,chapa lapa angalia uwezekano kwingine.