wadau wa jamvini, ukweli tumekuwa tukishauriana mengi tena kwa ustarabu na busara ya hali ya juu. Mimi ni mwanafunzi ktk chuo fulan hapa Dar, nimetokea kuwa na hisia za kimapenzi kwa mwanamke mmoja mrembo, mhadhiri mwenye hadhi ya Udokta PhD, Si wamakamu sana bt ni mrembo, mwenye tabasamu la ushawishi. Nashindwa nimweleze au laah! Na sijui ntapomwambia Reaction yake itakuwaje bt NAMPENDA KI UKWELI, Please wadau nisaidieni kwa ushauri, mwenzenu nipo njia panda!
We ni mwanafunzi wa shahada ya ngapi?
Hisia za kimapenzi ni nini?
ata km yupo semester ya kwanza 1st yr poa tu ilimrad kupendana...we mtokee tcha akikukubalia fresh akikutalia bas ujue urafiki utaishia apo cz atakuona MPUUZ,UMEMCHUKULIA POA...kukuchekea ,kuongea na wewe fresh ndo imekuwa sababu ..asi unajua wasom walivyo?
pia waweza kwaa bahat cz uenda anakupenda pia...
HAMJAPISHANA SANA UMRI?
We ni mwanafunzi wa shahada ya ngapi?
Mjukuu kuna dalili huyu jamaa akimtoea lecturer wake lazima atafelishwa kwenye test zake l.o.lKweli mapenzi hayachagui kwanza nakupongeza kwa kutokuwa among wale wanaume ambao husumbuliwa na tofauti za kielimu hasa pale wawapendao wakiwa wamewazidi. Angekuwa mwingine angezikemea hisia zake kwa maneno kama ....mwanamke mwenye phD utamweza??......n.k. Kama wewe ni mstaarabu na una hadhi yako .jaribu bahati yako. You neva know labda naye anaugulia moyoni.
na ticha naye akiwa mstaarabu anayeelewa hisia za mapenzi zilivyo sidhani kama atakukasirikia iwapo hatakuwa na mutual feelings kwako. Mradi tu akikwambia haiwezekani basi heshimu maamuzi yake na keep on respecting her sio uanze kumnanga bure.
ANGALIZO: Kimaadili ya kikazi (za ualimu vyuoni) kama unawezavumilia amalize kozi anayokufundisha ndo umtokee kwa sababu ukimweleza na mkawa wapenzi (au la) hatakiwi kukufundisha tena.
Just passing by.....Babu shikamoo
hivi ulienda kupata
Ile massage niliyo book?
Wale wana PHD ati...
Babu shikamoo
hivi ulienda kupata
Ile massage niliyo book?
Wale wana PHD ati...
Hapana babu si lazima kufelishwa.......hata akifaulu itakuwa maneno....kwa kawaida huwa hairuhusiwi.Mjukuu huyu kuna dalili huyu jamaa akimtoea lecturer wake lazima atafelishwa kwenye test zake l.o.l
Mwanafunzi wa Semista ya kwanza ya shahada ya kwanza Vs Lekchara mwenye PhD?
Babu cant buy this.....otherwise iwe Phd kama ya JK na mwanafunzi awe anayesoma baada ya kupiga kazi miaka kumi akaamua ajiendeleze.