Nampenda huyu Mhadhiri wa kike, sijui nimweleze au?

ni kweli

na ntakuletea konyag na supu ya pweza...hah haha hah!!!!!!!!!!
akikisha ambulance ipo nje plls stak kuambiwa nimeuwa mie akhu!!!!!
Nafikiri tutauana si unajua tena maujanja supply, hivi MESSI NA CRISTIANO RONALDO nani atamkaba mwenzake l.o.l
 
m just skippng the rope..bt for u i wl sit down...love u RR!!!!!

DIG DIG ANANICHOKOZA TU MISTAK...ntamsemea kwako mimi ohhoo ohoo..sasa inakuwaje rr?

Hapa mi kwisha....:love::love::love::love::love::love::love::love::love::love::love::love::love:
 
Kucha...? Zinauzwa wapi...?



eehh we wawap kaka?
nenda pale mwenge kuna kucha kuanzia buku mpaka laki..wewe tu unataka kucha gan
au nenda mariedo apo twn,shear illusion kaulize kucha sh ngap...au km vp njoo nkupeleke nkakuonyeshe maduka yoote...UNA ELA LAKIN?
habari ya beb toa ela mi walet yangu ipo kwenye gar stak mieee...:love:
 
Hapa mi kwisha....:love::love::love::love::love::love::love::love::love::love::love::love::love:




ehh napenda unavyocheka dia?
u luku similar to monkey bt i do adore u the way ur..actually dig dig is ma modern ....:tape:
 

Rz hebu twende chemba kidogo unielekeze, hapa upenuni noma, maana mi nimeletwa tu.
 
Nafikiri tutauana si unajua tena maujanja supply, hivi MESSI NA CRISTIANO RONALDO nani atamkaba mwenzake l.o.l



ahh misjui mamichezo bwana..sjui ata kimoja ..namjua morinho tu cz nampenda akivaa napendeza...na anaonekana he is a man..yupo rensponsbo na ayumbish neno kwake A IS A n nt the 1st alfabet...bt u hah haha ur ma ....rr yupo karibu?km hayupo nambie nimalizie ur ma...:love:
 
Nishtue nitakupa:A S-key::A S-key::A S-key: wa Kijerumani

hahah hahha apochachaaa!!!!!!
et anajitia ana funguo toka VATCAN...hah haha wap wewe wakat ata mlango huna ..mlango wake wamatete anafanya kuubetua kwa juu anaingia ndani...
 
Huyo unayemuona sio RR ni mtu anatumia ID yake so wewe jiachie tu.... I mean tujiachie tu.
 
hahah hahha apochachaaa!!!!!!
et anajitia ana funguo toka VATCAN...hah haha wap wewe wakat ata mlango huna ..mlango wake wamatete anafanya kuubetua kwa juu anaingia ndani...
Unamaanisha mlango wake ni wa tembe ukikugusa kwa kidole tu chini mwambie nina mbao za mninga na mpodo achague anataka zipi
 
Daaahh
Safi kama yuko
single muulize kama yuko
free tonight mtoe out kwa dinner..
mmhhh..
Dinner yangu vipi
Vocha mbona haujaniwekea kwenye simu
Mafuta kwenye gari mbona haujaniwekea
Bili ya umeme mbona haujanilipia
Kodi ya nyumba mbona haujanilipia inakaribia kuisha
Gari langu haujanipeleka service
Shopping mbona hatujaenda
 
usione soo sema nae mkuu. Chelewa chelewa waweza ambiwa umechelewa kidogo sana mwenzako aliwahi jana ukabaki kujilaumu.
 
nimekwambia nichek faraghani, mbona bado unanirusha hewani?



ahh babuweeeeeeeee mbona wakua mkali km chachamwita?
mi spend ivi..ntakuwa siji faraghan ohoo ohoo...
mi skuanzi faraghan ..unianze wewe...km hutak basi...:love::love:

habari yake kuchaaaaaaaaaaaaaa banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...wataka kucha enhh?zikuchanue?
ni pm wewe mi sianzi chochote ata kumwelekeza tu kikaptula(mwanaume)..bib alinikataza..svunji mwiko..:love:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…