klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
hehehe mimi nimesoma between ze lines na nimemwelewa MJ1.Nimecheka mpaka basii
angekataa mimba si yake....
Duh! Kama ingekuwa maadaili haya yanafatwa vyuo vyetu vya TZ wanafunzi wengi wangekuwa hawana walimu, na walimu wengi wangekuwa na wanafunzi wachache!
Ankal kama vile ulikuwepo.hehehe mimi nimesoma between ze lines na nimemwelewa MJ1.
halaf kama ameingia ka woga flani hivi naona amepotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya ile post.Ankal kama vile ulikuwepo.
Kweli mapenzi hayachagui kwanza nakupongeza kwa kutokuwa among wale wanaume ambao husumbuliwa na tofauti za kielimu hasa pale wawapendao wakiwa wamewazidi. Angekuwa mwingine angezikemea hisia zake kwa maneno kama ....mwanamke mwenye phD utamweza??......n.k. Kama wewe ni mstaarabu na una hadhi yako .jaribu bahati yako. You neva know labda naye anaugulia moyoni.
na ticha naye akiwa mstaarabu anayeelewa hisia za mapenzi zilivyo sidhani kama atakukasirikia iwapo hatakuwa na mutual feelings kwako. Mradi tu akikwambia haiwezekani basi heshimu maamuzi yake na keep on respecting her sio uanze kumnanga bure.
ANGALIZO: Kimaadili ya kikazi (za ualimu vyuoni) kama unawezavumilia amalize kozi anayokufundisha ndo umtokee kwa sababu ukimweleza na mkawa wapenzi (au la) hatakiwi kukufundisha tena.
wadau c mnajua hawa warembo cku hzi wanavyosoma mapema, yan huwa anafundisha mwenzenu cjitambui kabisa, imagine huwa najilazimisha kuuliza maswali anione teh! Dah mapenz kitu cha hatari na ajabu sana. Hajaolewa ati, she is stil single.. Duh! Ucombe yakukute yaliyonikuta mwenzenu!
...Nauliza karibia wote tunajua uchungu wa kupenda mtu ambaye mapenzi yake yako kwa mtu mwingine, na mbaya zaidi pamoja na kujua hilo bado tunajitahidi kumpenda na kufanya juu chini abadili mwelekeo wa mapenzi yako toka kwa huyo mtu mwingine yarejee upande wako.
Kweli mapenzi hayachagui kwanza nakupongeza kwa kutokuwa among wale wanaume ambao husumbuliwa na tofauti za kielimu hasa pale wawapendao wakiwa wamewazidi. Angekuwa mwingine angezikemea hisia zake kwa maneno kama ....mwanamke mwenye phD utamweza??......n.k. Kama wewe ni mstaarabu na una hadhi yako .jaribu bahati yako. You neva know labda naye anaugulia moyoni.
na ticha naye akiwa mstaarabu anayeelewa hisia za mapenzi zilivyo sidhani kama atakukasirikia iwapo hatakuwa na mutual feelings kwako. Mradi tu akikwambia haiwezekani basi heshimu maamuzi yake na keep on respecting her sio uanze kumnanga bure.
ANGALIZO: Kimaadili ya kikazi (za ualimu vyuoni) kama unawezavumilia amalize kozi anayokufundisha ndo umtokee kwa sababu ukimweleza na mkawa wapenzi (au la) hatakiwi kukufundisha tena.
Nampenda kweli huyu mwanamke ndugu zangu, nipo mwaka wa tatu sasa, nadhan atakuwa na umri wa miaka 8 mbele yangu bt shep ipo normal, was was wangu nikitoswa Itaniuma sana, then anaweza NIDAKA CLASS!
Yah ananifundisha Research Methodoloy teh! Ni lekchala wa class langu kabisa!
Laiti ningewezahisi ni chuo gani
...hehehe...eti labda nae anaugulia moyoni, Mwj1 unataka huyu kaka afukuzwe chuo kwa utovu wa nidhamu ee?
mkuu Mbu unakaribishwa JF. "The home of great mysteries".
mmh chuo ctaji, waweza mkawa mwamjua teh! teh! Ngoja roho yangu iteseke tu!
wadau wa jamvini, ukweli tumekuwa tukishauriana mengi tena kwa ustarabu na busara ya hali ya juu. Mimi ni mwanafunzi ktk chuo fulan hapa Dar, nimetokea kuwa na hisia za kimapenzi kwa mwanamke mmoja mrembo, mhadhiri mwenye hadhi ya Udokta PhD, Si wamakamu sana bt ni mrembo, mwenye tabasamu la ushawishi. Nashindwa nimweleze au laah! Na sijui ntapomwambia Reaction yake itakuwaje bt NAMPENDA KI UKWELI, Please wadau nisaidieni kwa ushauri, mwenzenu nipo njia panda!
hili neno...kwa mantiki hii kijanaa utakuwaa uconcentrate na lecture yake..we umeweka matamanio ya kimapenzi.sio thambi kupendaa ila chekii sanaaaMwenzetu badala ya kuconcentrate masomo unammezea mate mhadhiri wako? Yuko singo au ni mali za watu?
nami nang'atuka. Tusubiri konklushen ya hii sredi ili tuelimike...hehe! Klorokwini ulisoma hapa chini?
...mimi naiacha hii sredi bana, haijanikalia sawa kabisaaa :nono: