Nampenda huyu msanii

Nampenda huyu msanii

mou b

Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
66
Reaction score
18
wandugu kuna kabinti kameimba nyimbo moja hivi na juliana yule wa uganda. kama umewahi ona video yake wako wawili na juliana..wimbo unaitwa "mpita njia" mimi nimemzimia jaman mwenye email yake au no. zake ani pm duuuh nimsakanye mpala kieleweke asanteni.
 
Na hii ndiyo namba yake; 085246928614444596554788699955555478258852441269965558955241522666325152333333322111. Mpigie muda wowote utampata.
 
duu kaka@nyanidume mbona cal not richabo hebu nitumie email yke basi. nijaribu
 
Huu mzigo nimepiga sana kipindi kile niko ug,alikuwa bado hajawa star.Nasikitika kukwambia kwanga nonihino yake ina maji kinoma.LOL....!!!

alicios2.jpg n.jpg
 
mi nampenda tu anajua kuimba na sauti nzuri na ofcorse ni mzuuriii...ila wewe kaka kajipange huy si akina naniiu uliowazoea!!
 
hv Huyu N wa UG Au kenya?? Maana mnanichanganya hapa
 
Back
Top Bottom