wandugu kuna kabinti kameimba nyimbo moja hivi na juliana yule wa uganda. kama umewahi ona video yake wako wawili na juliana..wimbo unaitwa "mpita njia" mimi nimemzimia jaman mwenye email yake au no. zake ani pm duuuh nimsakanye mpala kieleweke asanteni.