Nampenda ila nataka kumuacha kwa kuwa siyo mweupe

Muache tu kaka alafu baada ya miezi kazaa utakuja na uzi wa majuto hapa. Umeona kasoro kwake, Naaamini hata yeye amegundua kasoro nyingi tu kwako sema ameamua kukuvumilia na komwe lako.

Ni kawaida ya binadamu kuona umuhimu wa vitu walivyonavyo baada ya kuvipoteza. Endelea
 
Wakuu habarini!!! Kuna binti nipo nae ila nafsi inampenda ila akili haitaki cz sio mweupe. Yaan hisia hizi zinanipelekesha sana nashindwa nimuachaje na amenipenda pia ila ndoivo niliapaga ntaoa bint mweupe
Ndugu yangu, yaani umekaa huko na kujipa muda wa kutosha kupanga uje hapa jukwaani utusumbue kwa hili jambo la wewe kupenda mwanamke mweupe? Kweli?

Ova
 
Wakuu habarini!!! Kuna binti nipo nae ila nafsi inampenda ila akili haitaki cz sio mweupe. Yaan hisia hizi zinanipelekesha sana nashindwa nimuachaje na amenipenda pia ila ndoivo niliapaga ntaoa bint mweupe
Mnunulie mkorogo
 
Km unaona nafsi yk inakuambia utapata aman ukiwa na binti mweupe then fuata vile unavyojisikia..
 
nyie ndio mnafanya carolight zipande bei, maskini cheusi mangala wa watu kajua kapata bonge la bwana kumbe gumegume halina akili
 
Akili haziangaika na vitu vya kijinga kama hvyo....hzo ni hulka/tamaa/hisia zako.

Usiruhusu hisia ziendeshe akili....
 
Wakuu habarini!!! Kuna binti nipo nae ila nafsi inampenda ila akili haitaki cz sio mweupe. Yaan hisia hizi zinanipelekesha sana nashindwa nimuachaje na amenipenda pia ila ndoivo niliapaga ntaoa bint mweupe
Achana na fikra za kisukuma zimbu wee
 
Aaah wewe ni furushi, hivyo achana tu na wanawake kabisa.
 
Back
Top Bottom