Nampenda Jokate, nitamfukuzia mpaka ni mkamate

Kariongo

Senior Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
112
Reaction score
5
Sijali yuko na the so called super star. Najua kuimbisha lazima Jokate nimkamate. Lazma auelewe wimbo wangu. Nitanyang'anya Diamond by any cost
 
mkuu all the best... i am not sure she is proud of the man she is with now!!
 
Duuh

-wewe celeb?
-Unaomkwanja?

kama majibu yako ni yes, nakupa hongera kwa mafanikio
 
thanx, its normal for women, by the time I catch her,she will be proudy of me.

ila pia kuwa makini hapo juu kuhusu dozi ya ARVs.... sijui kwanini wameleta hiyo hoja lakini usidharau mwiba
 
mara nilisikia bado nipo sana,mara basketballer sasa kwa almasi,wewe nae nani? maana naona zamu ya footballer sasa ,pambana mkuu
 
Kaka hawa ni fedha tu unaweza ukawazungusha woteeee, unachotakiwa kila shoo uhudhurie halafu jina lako litajwetajwe
 
mara nilisikia bado nipo sana,mara basketballer sasa kwa almasi,wewe nae nani? maana naona zamu ya footballer sasa ,pambana mkuu

nikisha mkata utajua mi nani? Kwan wadaku wataandika, fulan kamnyang'anya alimasi demu.
 
Huna haja ya kutangaza nia yako. Kaza moyo, jitose, utampata tu!
 
Cjali yuko na the so called super star. Najua kuimbisha lazima joket nimkamate. Lazma auelewe wimbo wangu. Nitanyang'anya Diamond by any cost

unaongea kama Joketi ni jiwe tu atakayelifikia analibeba tu!kama hatakupenda au kukubali kwa namna yoyote utambaka?heshimu uhuru wa wanawake ktk kuchagua na kukubali!

nawasikitikia wanawake ma-supastaa,wanaume wengi just want to fak their names!...and not them!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…