You guys
KIKUNGU and @default i love you.Thanks.
mmnenifanya nifunguke japo i just wanted to stomach up whatever i have.
mtoa mada unapaswa ujue kwamba maisha hayana kanuni never. si kwamba kwakua watu wengine wakitongozwa wanakubaliana ndani ya muda mchache basi na kwako inatakiwa iwe hivyo hivyo.
fazaa na
Eiyer sijui kwanini wana overlook hili.Ila
King'asti kasema vyema sana.
hivi jamani hamjawah kuona mtu anafwatwa na mkaka anamchomolea may be yuko na mtu mwingine lakin baadae unakuja kukuta yule ambaye aliambiwa natembea nafulani ndiye anayekuja kuoa na yule aliyekuwa anamiliki wakati huo anapigwa chini? Hii si kwamba eti ni umalaya ama nini no hii ni complexity of life tu so kwanguu mimi kumwambia kwa wakati ule kuwa you dont feel like kuwa naye lilikuwa ni jambo jema sana manake you said the truth. Kwasasa umejikuta unadevelop feelings kwake it means kwamba kuna intimacy ndani yenu.
What to do just stay calm wala usimbughudhi kwa chochote kile, listen to your heart and naamini kama Mungu aliwapanga naye he will be suffering from the same thing kule ataachia ngazi tu. usipaparike uone kwamba anakupotezea muda uanze kuhangaika na wengine muda bado wewe kaa kimya jipange wala usishoboke pia waza mambo yako ya msingi zaid kuliko hayo ya mapenzi hadi atakapokuja kwako.
Kuna hatari ambayo naiona nayo ni ya wewe kujitongozesha ama kumuonyesha kuwa uko deep kwake. yaani kama wakati wa kunata na beat ndipo hapa,uwe na staha za kike zenye utu wa kike, usijipitishe wala kumuonyesha action kwamba your down. be strong and woman enough usimpigie simu labda akupigie akitext respond accordingly.
kwanini nasema hayo? with time utamjua kama kweli naye ana feel the same still or not pia itakupa nafasi ya wewe kukubaliana na matokeo yeyote yale iwe ya kukubaliwa ama kukataliwa. naamini umenielewa.