nikamueleza how i feel, alichojibu ni kuwa kwa sasa anamtu anatoka nae na ni kweli, ila hana malengo nae yoyote in future
You see,that is what i was waiting for,am a big fan of yours,gfsonwin and i will give you a shout when am troubled,mungu akubariki sana
cartura mzima jamani kaka yangu wa moyoni? lol haya niambie hii beige yako ni sh ngapi vile? nimeipenda hii aiseekwa kifupi huyo jamaa yako hajatulia na ni player.... next time, roles zita-change..... wewe ndiye utakayeshushwa daraja na kuonekana jamaa hana malengo na wewe
Mshauri bana, acha hizo!huwaga ni hodari kwa kushauri lakin hapa mmmh..........nikae kimya.
fazaa umesahau kwamba love takes time to grow jamani! siyo kwamba silifaham hilo la hasha na ndio maan nika kumention ili ujue love can grow kama ikipewa muda mumy.gfsonwin mbona nyie wengine mnakuwa wagumu kufahamu everyone has a different love idea.
Nakuliza hivi, if a girl doesn't have love feelings on a boy will she get it later!!
Hana lolote huyo ana pima upepo tu! Ukitaka kuamini kama ana kupima mwambie aendelee na huyo mtu wake ,usikie atakavyo sema.
Ni wanaume wachache sana tunaweza kusema nafasi zimejaa au ina mtu!
Kwa wanaume wengi nafasi huwa ziko wazi kila siku.
gfsonwin nadhani unaongelea love from both sides, sio from one side of love....Yule alikuwa hana feelings na jamaa mbona hutaki kufahamu....Mtu aliye kuwa hana feelings na mtu vipi aje kuwa na feelings naye baadaye?fazaa umesahau kwamba love takes time to grow jamani! siyo kwamba silifaham hilo la hasha na ndio maan nika kumention ili ujue love can grow kama ikipewa muda mumy.
Hukukosea kumkataa mwanzo. Ina maanisha wewe hujamtamani tu, umempenda. Upendo unachukua muda kuingia moyoni.
Shukuru Mungu kuwa yuko honest kwako. Angeweza kukudanganya akupitie kama hakuwa na nia nzuri na kukumwaga (fazaa hataki kukiri hili). Ulipomkataa, akawa desperate na ameumia, akarukia tawi la karibu. Mpe muda, na usimzonge sana. Jitahidi kupunguza mawasiliano nae. Usikilize moyo wako, utakapojisikia humpendi tena muambie kwa ustaarabu. Kama ndo Mungu kakupangia huyo atarudi, kama sio wako uwe na amani wa kwako atakuja. Wanammalizia ma-scrub aje sop sop!