nampenda lakini anajifanya hajali

Chama cha wanaume watongozaji tanzania (ccwwt)kina tangaza maandamano yatakayo fanyika kuanzia kidongo chekundu hadi mahakama kuu,siku ya kesho kushinikiza serikali iweke adhabu kali kwa wanawake wanao zungusha wanaume na kuwawekea pozi mar wnaapo tongozwa,tangazo limetolewa na mwenyekiti,usikiapo tangazo hili mjulishe na mwenzio,kutongoza ndio udumedume.
 

lol :loco::loco:
 
Amekueleza ukweli sasa kumuamini na kutokumuamini ni wewe na jee wewe hatokufanya kama mwenzio? ukiona mwenzio ananyolewa bila kutiwa maji basi chako kitie kabisa...
 
Ushauri wa kwanza upo kwako, we unaonaje anachokwambia unakiamini au?ukishajibu maswali hayo naamini utapata cha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…