Nampenda lakini basi


cut your losses and show the loser the exit door...........................you deserve more than what he is willing to give u....................................keep the Baby since it is not from our BIG LOSER but a blessing from the Almighty God..........................................Keep our Creator in the first place He is gonna take u places u never imagine were kept just 4 u..........................
 
Dah inauma sn...pole sn mamii..hakyanani mie cji kutesa mwanamke
 
Bint tulia, ucrejee kwa huyo sela tena... nakushauri kwamba utakapompata mchumba mwingine, uckubali akuchezee..,mwambie akuoe km anakulove for real, ucje ukaona dunia chungu kwa dhulma ya mapenz unayopata sasa lady..okay!!
 
Pole Dada kwa yalio kufika, Huu sio mwisho wa maisha, Tulia na jaribu pole pole kumtoa akilini huyo jambazi!, najua ni vigumu lakini jaribu. Usijaribu wala kuthubutu kufikiria kumtoa huyo mtoto, kwani atakuja kufaa na ndio atakae kupenda kuliko yeyote humu duniani. Chukulia hili jambo kama fundisho(Wasomaji pia naomba msome). Wakati woote usimpende Binadamu mwenzio na kumpa roho yako yoote, Binadamu ni binadamu!!!!!!!!
 
Duu! miaka nane umekuwa naye halafu ghafla ukawa na mimba yake!
 

Hakuna cha kuongeza..ushauri ndio huo hapo juu..mshukuru aliyekupa ushauri na ufayie kazi.. All the best!
 
Reactions: LD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…