Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #61
Una vituko wewe lakini haya yangu macho mie sisemi kitu mwaya naogopa mie heee haaa
BE, TF, bacha na jasiri bonge la muvi :whoo:
Wewe ni asali wa moyo wangu...kachumbari wa raha yangu...na uzima wa uhai wangu.
Wallah niko radhi kukupa chochote kile uwe wangu wa milele..subah illna lillah
Wewe ni asali wa moyo wangu...kachumbari wa raha yangu...na uzima wa uhai wangu.
Wallah niko radhi kukupa chochote kile uwe wangu wa milele..subah illna lillah
Kumbe mashairi unayajua, sasa ulivyo act unaogopa ulikuwa unategemea nini???
Uko tayari kunipa chochote?? Hii nimeipenda ngoja nikuPM nione kama kweli. Namtafuta
Wallah binti Amsi mie sileti utani hapa. Wachotaka utapata bila hiyana...aaah binti Amsi weeeee
Jasiri wewe haya nataka uninunulie ndege kesho niende nayo kwetu mwanzaaaaaaaaaaaaaa
Dena pinda mugongo wee zanichomachoma...Dena pinda mugongo wee zanichomachoma....
Pengine wajiuliza nini hizo zanichomachoma....aaah hizo embe dodo....zanichomachoma
Mbon tiyari nnayo bebii...na rubani mie mwenyewe
Ha ha ha rubani wewe mwenyewe twende kazi sasa!!!
Jasiri kwani leo umeamkaje bana wanitia majaribuni mwenzio nashindwa kwenda kijijini kwetu kumalizia kupika pombe ya sikukukuu
Kinacho ananambia si vibaya kuyajaribu hayo majaribuni kwani bila kujaribu huezi jua atii...maneno ya Kinacho hayo!
Wadau kuna dada humu mie nimetokea kumpenda sana. Si upendo wa agape bali ni ule wa kimapenzi kati ya mwanamme na mwanammke.
Kulitaja jina lake naogopa lakini linaanzia na D. Nimechanganyikiwa mdau mwenzenu. Naogopa kupigwa kibuti. Nifanyeje mwenzenu?
Mbona jina lako haliendani na unachokisema?hujawahi kukataliwa?basi wewe sio mwanaume sawasawa...
tayari ana ugoko kama wa nsajigwaMshamkuza nyie mlitegemea nini??? Kakomaa tayari huyo!!