we mtokee tuu, mapenzi hayajali hayo yote....kaza moyo
kakuzidi kwa miaka mingapi? napata wasi2 kama umempenda au umetamani kile alichonacho ndugukuna dada mmoja namfahamu toka siku nyingi lakini siku hizi nimetokea kumpenda lkn naogopa kumwambia. Dada mwenye ni msomi kiwango cha mwisho, mstaarab, 36 yrs old na ana uwezo wake lakini yuko serious sana na muda mwingi yuko busy kazini. Nikijiangalia mimi sina tatizo ila elimu, umri na kipato kanizidi. Wandugu nipe njia nitoke vipi?
Preta hebu kuwa realistic....unazungumzia mapenzi peke yake bila maisha??
Simshauri idea kujitafutia presha za kudumu katika maisha yake...
Preta hebu kuwa realistic....unazungumzia mapenzi peke yake bila maisha??
Simshauri idea kujitafutia presha za kudumu katika maisha yake...
kila kitu kakuzidi my dia, mbele ya safari lazima mtakwazana tuuu!kweli nampenda na hajaolewa wasiwasi wangu ilikuwa ni vile atanichukulia vipi! Maana naona noma kukataliwa. Kanizidi miaka 4. Ehee wandugu imekaaje hii?
kuna dada mmoja namfahamu toka siku nyingi lakini siku hizi nimetokea kumpenda lkn naogopa kumwambia. Dada mwenye ni msomi kiwango cha mwisho, mstaarab, 36 yrs old na ana uwezo wake lakini yuko serious sana na muda mwingi yuko busy kazini. Nikijiangalia mimi sina tatizo ila elimu, umri na kipato kanizidi. Wandugu nipe njia nitoke vipi?
wee idea just follow your heart mwambie tu unaongopa kuwa atakuchapa viboko, wenzio usituone hivi wapo waliotukataa na walikubali pia.