The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
upendo wa dhati huwa hauangalii hayo kwa mtazamo wangu...ukimpenda utamwamini, na kumheshimu. Kama dada atatokea kukupenda pia sidhani kuna kukwazwa kwa sababu ya mali.
Sasa st roy unamshauri aendelee kuteseka? inawezekana hata huyo mdada hana mtu kwa kigezo cha kuogopwa na men so inaweza kuwa opportunity kwa idea.
huwa tunamilikisha kila kitu tukishapenda....gari ataendesha, ndani atakaa kwenye kochi huku kafunga taulo, atm kadi atajua password.....mbona simple sana.....mwache kijana ajitose bana
Hivi nilitoa sababu gani tena kukubutua?Mbona wewe ulinipiga kibuti?
kuna dada mmoja namfahamu toka siku nyingi lakini siku hizi nimetokea kumpenda lkn naogopa kumwambia. Dada mwenye ni msomi kiwango cha mwisho, mstaarab, 36 yrs old na ana uwezo wake lakini yuko serious sana na muda mwingi yuko busy kazini. Nikijiangalia mimi sina tatizo ila elimu, umri na kipato kanizidi. Wandugu nipe njia nitoke vipi?

.....! Pamoja na udhamini kutoka kwa watu wa Marekani umeshindwa...! Unadhani JF wana udhamini zaidi ya huo? Aidha, mimi nakushauri uvunje ukimya, kama ni kupigwa ngwara na upigwe....! Vinginevyo, kalie mbele yake, atakuonea huruma...!kuna dada mmoja namfahamu toka siku nyingi lakini siku hizi nimetokea kumpenda lkn naogopa kumwambia. Dada mwenye ni msomi kiwango cha mwisho, mstaarab, 36 yrs old na ana uwezo wake lakini yuko serious sana na muda mwingi yuko busy kazini. Nikijiangalia mimi sina tatizo ila elimu, umri na kipato kanizidi. Wandugu nipe njia nitoke vipi?
I wish I could find a woman of this kind....!Sasa st roy unamshauri aendelee kuteseka? inawezekana hata huyo mdada hana mtu kwa kigezo cha kuogopwa na men so inaweza kuwa opportunity kwa idea.