Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Ushauri, maamuzi mengi ya mapenzi yanauma sana hivyo unatakiwa uwe jasiri na mvumilivu. Kila la kheri ndugu yangu.labda kama anataka kujua reaction gani nitakayoichukua kwa jinsi anavyoichezea akili yangu
Ushauri, maamuzi mengi ya mapenzi yanauma sana hivyo unatakiwa uwe jasiri na mvumilivu. Kila la kheri ndugu yangu.
kuna mtu anamsumbua....ina maana nyingi sana
Kuna njemba inamtaka na si ajabu ameishaikubalia wawe wapenzi. Sasa anatafuta upenyo wa kutokea.
mapenzi yana vituko sana , yawezekana aataka kubadili maamuz au anajaribu kuangalia kama una mpenzi mwingine lakini vipimo vingine hugharimu sana
Kuna uwezekano anakupenda ..ila sio kwa mapenzi tunayojua ..ila kwa sababu wewe ndio utakuwa Mwokozi wake ki-uchumi.. yaani anatafuta sehemu ya kuegemea.. Mapenzi kama hayo hayadumu..
Ushauri wangu.. Haraka sana mpe majaribu ya kumwonyesha scenario mbovu za relation yenu na umwangalie reaction yake.. Scenario mbovu siyo kumwambia kuanzia leo basi... ila kama una kazi mwambie unaacha, kama ulikuwa unamnunulia Vocha na misaada midogo midogo sitisha au punguza.. Just to depict kuwa huna msimamo wa maisha na unataka mawazo yake ufanye nini...au unamtegemea yeye...
Kama anakupenda hatokuacha.. kama ni msanii.. hapo ni bye bye nawe utakuwa safe...
Tulizo ukweli huyu dada anafanya kazi yake nzuri sana tu na ana pesa unless awe na tamaa tu ya pesa na wala hanitegemei saaaana mie hilo nakiri. Mwanzoni mwa mapenzi yetu alionyesha kuwa na mapenzi na mie kabla hata mie sijamfahamu na yeye kumbe alikuwa akinifahamu vizuri tu na ndipo baadae tukaingia katika mapenzi na tukaendana vema. Ila ni siku za karibuni ndipo maswali yake kuhusu kama kweli nampenda yamekuwa mengi na mara anadai kuwa kuna bibi zangu wanamsumbua na mara anadai kuwa kuna MTU ambaye hamtaji eti anamsumbua. hapo ndipo ninaposhindwa kumuelewa sababu za kutokuniambia uwazi huyo anayemsumbua na pia kuamua kuzima simu siku mbili tatu bila kusema. Ninampenda sana lakini nafikia mahali nachoshwa na hali hii
Wala jamaa hana sababu ya Kuzunguka Mbuyu kama CCM wanavyojizungusha kusema Mkwe.r ndo tatizo, ampe nafasi huyo Dada, na Jamaa a carry on na life yake,kama kweli huyo Dada anampenda atarud tu, Kuku wako ya nini umuwinde na Manati....Kuna uwezekano anakupenda ..ila sio kwa mapenzi tunayojua ..ila kwa sababu wewe ndio utakuwa Mwokozi wake ki-uchumi.. yaani anatafuta sehemu ya kuegemea.. Mapenzi kama hayo hayadumu..
Ushauri wangu.. Haraka sana mpe majaribu ya kumwonyesha scenario mbovu za relation yenu na umwangalie reaction yake.. Scenario mbovu siyo kumwambia kuanzia leo basi... ila kama una kazi mwambie unaacha, kama ulikuwa unamnunulia Vocha na misaada midogo midogo sitisha au punguza.. Just to depict kuwa huna msimamo wa maisha na unataka mawazo yake ufanye nini...au unamtegemea yeye...
Kama anakupenda hatokuacha.. kama ni msanii.. hapo ni bye bye nawe utakuwa safe...
Kuna njemba inamtaka na si ajabu ameishaikubalia wawe wapenzi. Sasa anatafuta upenyo wa kutokea.
Kweli kabisa! Kuna njema inataka chance na hapo bibie anapima uzito upi unampasa yeye kati ya hao vijeba wawili ndo maana haishi kuuliza maswali kama hayo!
nahisi kama naye anatafakari afanye maamuzi gani. Atakuwa yuko njia panda, anawaza.
We kuwa mvumilivu usubirie, ATAKUTAFUTA KAMA ANAKUPENDA.
utamuelewa kwa matendo