...Mnishauri wanajamii mie kiuno changu nadhani bado nakihitaji na nipo kidogo confused kwa sababu mdada nampenda ila ninataka kumuuliza ukweli wote kama atakuwa yupo tayari kuniambia A-Z maana hizi pingu za maisha ambazo mnafungwa ni noma mazee...sio za kuingia kichwa kichwa..
Asanteni
jamani nyie ina maana yeye aliumbwa asiwe na mwenza?
Hebu mpeni ushauri wa matumani akate shauri yeye na mwenza wake wamrudie mungu yeye ni muweza wa yote
The Following User Says Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:...kaka, ukifa sidhani kama utakihitaji tena hicho kiuno 'huko uendako.'
Pili, kufa ni lazima, ...umuoe huyo dada au la utakufa tu.
Ushauri wangu, fata nini roho inataka...halafu muachie Mw'Mungu na hatma yako.
Jamaa kesha kula mate tayari hapo hakuna tofauti na yule aliye kunywa mchuzi akaacha nyama jamaa nae tutegemee kuvunjika kiuno
Hii inatokea sana pindi mwanamke anapo kuwa na gundu inabidi akasafishe nyota.
Kuna sehemu flani hivi kuna mwanamke mrembo kweli kweli kwenye kampuni hiyo lakini kila mfanyakazi akimtokea tu na akamega basi jamaa hana maisha marefu na kazi anaweza akadumu nae mwaka anafukuzwa kazi imetokea jamaa kibao wanao mega huyo mwanamke wanafukuzwa kazi inakuwa kama nuksi flani hivi nyota ya mwanamke huyo ni mbaya baadae ikabidi wamtimue yeye kazini hii inatokea sana
I support Kimbweka 100%, nenda kanisani kamweleze pastor hiyo historia, na pepo la MAUTI, VERY SIMPLE LITAISHA NA MTAISHI MAISHA MAZURI.
Huyo ni wako ndugu yangu, wewe ndiyo LANGO lake la wokovu, hata kama unaogopa we mpeleke kanisani aombewe kama ni kuachana umwache ila umemsaidia.
...mnh,
naona kuna dalili za mtu kugongwa na gari akitokea kanisani na kupoteza kiuno chake.
Jamaa kesha kula mate tayari hapo hakuna tofauti na yule aliye kunywa mchuzi akaacha nyama jamaa nae tutegemee kuvunjika kiuno
mbona kama na wewe unatest kiuno chako?kiuno