Nampenda Lakini...??

Ndugu yangu mimi naomba nikupe ushauri mmoja ingawa haujatuweka wazi juu ya hilo tatizo la mpenzi wako,mimi ningekushauri kuwa ungefanya uchunguzi wa kina kuhusu huko kuvunjika viuno kwa wanaume wote ambao walikuwa na mahusiano ya kimapenzi na huyo mdada inawezekana hilo tatizo likawa na mahusiano flani na nguvu za GIZA,pili usiwe mwepesi wa kukata tamaa kila tatizo hapa duniani lina jinsi ya kulitatua,tatu nakushauri Muombe Mungu sana anaweza kukuepusha na matatizo ya namna hiyo jambo la mwisho sikushauri uvunje uhusiano wako na huyo mdada yawezekana Mungu ndo kakupa huyo mdada na pengine hilo tatizo lililowatokea hao ndugu zetu waliokutangulia halitakupata!
 
Daaah huyo dada ndo kasababisha kifo chako bila kujua
 
Halafu jamaa last seen ni 2019 na page yake imeandikwa RIP. Kwamba aliendelea na huyu dada au amekufa kwa mengine? Mtu unatamani kujua sema ndio hivyo mwamba ni marehemu sasa.
 
Hakika shangazi yangu mmoja tajiri sana aliwahi niambia kabla hujaoa umkamchunguze huyo mwenza kwa mtaalam๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sikufanya hivyo lakini
Kimekuramba au bado๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ama mnaelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ