Nampenda Lakini...??

Sijui nani kufufua huu uzi,ila umenikumbusha nyuma kidogo hapa kulivyo kua makini kidogo kuliko leo.
Ndivyo hivyo leo itakavyo kua nzuri hapo kesho, ndio kusema jana iko na heri kuliko leo!
 
Sijui nani kufufua huu uzi,ila umenikumbusha nyuma kidogo hapa kulivyo kua makini kidogo kuliko leo.
Ndivyo hivyo leo itakavyo kua nzuri hapo kesho, ndio kusema jana iko na heri kuliko leo!
😭😭
 
Daaah huyo dada ndo kasababisha kifo chako bila kujua
 
Huyu mtu kama sikosei alifariki kwa ajali ya gari miaka ya karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…