Nampenda mbunge rahel mashishanga

prof.mutunga

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
341
Reaction score
60
Siyo kimapenzi ila ni mama anayestahili kuigwa na wasichana wa kitanzania mana ananyoa upara ili kupunguza gharama za maisha siyo kama hawa wanawake wanaotusumbua ati hela ya kwenda saluni kutengeneza nywele..mie siangalii artificial nangalia natural
 
Yani unarusha ndoano leo kwa msichana kesho hela ya kwenda saloon its all about commercial sex bora nitafute anayenyoa upara ila ana sifa zingine hapo tutapata maendeleo
 
Ndio mbinu za kukimbia majukumu.....Mwanamke unywele mkubwa, labda ungeniambia waache mashauzi ya kwenda kutafuta huduma ile ile ya kutengeneza nyweli sehemu za ghali ili kujisifia huku wakiwaacha wataalamu mtaani kwao.
 
Yani unarusha ndoano leo kwa msichana kesho hela ya kwenda saloon its all about commercial sex bora nitafute anayenyoa upara ila ana sifa zingine hapo tutapata maendeleo

Ninge shangaa sana kama ungempenda kimapenzi maana ana sura ya baba yake! (joke)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…