Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 758
Jamani jamani nisaidieni mawazo.... ni siku nyingi kuna jamaa tumezoeana nae ila sio sana maana hupishana tu na kusalimiana na story za kawaida sana. mara nyingi huyu jamaa huwa anapenda kusema hivi....."Msalimie mkeo bwana mwambie NAMPENDA SANA" jamani wanajamvi hebu nisaidieni katika hili kama ungekuwa wewe ungefanyaje?