Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 758
Unauliza nawewe kesho mwambie hivyo hivyo!!Akiendelea mwambie nampenda Mamayako mwambie namsalimia!!:mod:Jamani jamani nisaidieni mawazo.... ni siku nyingi kuna jamaa tumezoeana nae ila sio sana maana hupishana tu na kusalimiana na story za kawaida sana. mara nyingi huyu jamaa huwa anapenda kusema hivi....."Msalimie mkeo bwana mwambie NAMPENDA SANA" jamani wanajamvi hebu nisaidieni katika hili kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
Jamani jamani nisaidieni mawazo.... ni siku nyingi kuna jamaa tumezoeana nae ila sio sana maana hupishana tu na kusalimiana na story za kawaida sana. mara nyingi huyu jamaa huwa anapenda kusema hivi....."Msalimie mkeo bwana mwambie NAMPENDA SANA" jamani wanajamvi hebu nisaidieni katika hili kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
hahahahahahah Kakakiiza sasa hapo itakuwa ugomvi mwishowe.
Jiamini wewe ni mwanaume......achana na wivu wa kichekechea...ovyo.Si bora huyo anakwambia msalimie...kuna wengine wana'mnunulia chupi'' huyo mwenza wako.Mlimazuzu kweli sijawahi kumwambie wife ila jamaa kila nikikutana naye anasisitiza sasa nimechoka sana.........nataka kutembea na panga sasa
Jamani jamani nisaidieni mawazo.... ni siku nyingi kuna jamaa tumezoeana nae ila sio sana maana hupishana tu na kusalimiana na story za kawaida sana. mara nyingi huyu jamaa huwa anapenda kusema hivi....."Msalimie mkeo bwana mwambie NAMPENDA SANA" jamani wanajamvi hebu nisaidieni katika hili kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
dah... Hapa inabidi kutulia... Mmmh nitarudi... Pole by the way ila uwe na amani hajatembea nae ila anampango... Kama nilivyosema nitarudi...
Jamani jamani nisaidieni mawazo.... ni siku nyingi kuna jamaa tumezoeana nae ila sio sana maana hupishana tu na kusalimiana na story za kawaida sana. mara nyingi huyu jamaa huwa anapenda kusema hivi....."Msalimie mkeo bwana mwambie NAMPENDA SANA" jamani wanajamvi hebu nisaidieni katika hili kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
fikisha ujumbe uliotumwa nawe uangalie mkeo utapokea vipi