Nampenda mke wakooooooooo!!!!!


Cha maana na uungwana ni kumuabia huyo mtu, kuwa utani lazima uwe na mipaka na akuheshimu kwa anayoyasema kuhusu mkeo. Inabidi umueleze ukweli ili aelewe na ukikaa kimya basi wewe ndio mwenye makosa zaidi.
 
Kukutuma salam sio lazma kuwa jamaa ana uhusiano na mkeo. Inategemea atitude ya jamaa kama kwel angekuwa na hiyo agenda angekutuma salam? Ama anajua kuwa una wiv ivo anataka kukuumiza roho...pole sana ukicomplicate haya mambo utapunguza cku za kuishi kwa stress..
 
chunga domo lako, kwa mke wangu nitakujeruhi teh!
 
Kwanza jua kabila la huyo jamaa na lako kama ni watani basi huyo atakuwa mtani wako mkuu!
 

Hivi watu wengine huwa mishipa ya hasira huwa imelegea au imekatika? Aghhhhhhhhhhhhh!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…