The Winner
Member
- Jul 9, 2011
- 34
- 3
nilijaribu kumshauri aendelee kuwasihi wazazi wake kuwa mlemavu ndio chaguo lake!wewe umemshaurije?
ni mlemavu wa miguu ndugu!mlemavu kiaje?miguu mikono,mawazo au!manake na ufinyu wa mawazo nao ni ulemavu!
kweli anampenda lkn kuwaacha wazazi bila muafaka pia haipendezi.Awaweke chini wazazi na awaeleze namna anavyopenda huyo jamaa. Kama vipi aachane na wazazi na aolewe na huyo jamaa kama anampenda kweli!
huo ndio ushauri wangu kwake!Mshauri ashauri wazazi wake waache unyanyapaa....love is blind
alipata ugonjwa akiwa mtoto ndo akawa hivyo.kwani huo ni ulemavu wakuzaliwa au waliupata mara baada yakuzaliwa?
that's right.Hao wazazi wake ndo walemavu wa akili kabisa yaani 2011 bado wana mambo ya 1811? Binti tena kama wanataka kuoana waende boma tu na mungu ataibariki ndoa yao....