Nampenda mpenda nani? Nampenda

Nampenda mpenda nani? Nampenda

Simba Mkali

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
620
Reaction score
239
Huu wimbo unanikumbasha kwamba mchezo huu ulinisaidia sana kujifundisha kutongoza mademu enzi zangu, sijui kama unaukumbuka? Wanawake walikuwa wanakaa upande mwingine na wanaume wanaanza kuimba na mwisho anataja jina la mwanamke. baadaye inakuwa zamu ya wanawake kutaja majina ya wanaueme akikuchagua tena wewe ujue amekukubali mnaenda kuanza maisha pembezoni kwa kupika na kula kibaba na mama. aaaaah aaaah
 
Isijekuwa bado unatumia trick hii mpaka leo, kutana na wajanja wa JF watakutoa taka za masikio.
 
Huu wimbo unanikumbasha kwamba mchezo huu ulinisaidia sana kujifundisha kutongoza mademu enzi zangu, sijui kama unaukumbuka? Wanawake walikuwa wanakaa upande mwingine na wanaume wanaanza kuimba na mwisho anataja jina la mwanamke. baadaye inakuwa zamu ya wanawake kutaja majina ya wanaueme akikuchagua tena wewe ujue amekukubali mnaenda kuanza maisha pembezoni kwa
kupika na kula kibaba na mama. aaaaah aaaah

Aaahhh......Mimi nilikuwa napendaga sana kuwa baba
 
Inawezekana trick hii ilisaidia kuwajengea confidence vijana wa enzi zile kuwatokea mabinti!
 
Back
Top Bottom