Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 239
Isijekuwa bado unatumia trick hii mpaka leo, kutana na wajanja wa JF watakutoa taka za masikio.
Huu wimbo unanikumbasha kwamba mchezo huu ulinisaidia sana kujifundisha kutongoza mademu enzi zangu, sijui kama unaukumbuka? Wanawake walikuwa wanakaa upande mwingine na wanaume wanaanza kuimba na mwisho anataja jina la mwanamke. baadaye inakuwa zamu ya wanawake kutaja majina ya wanaueme akikuchagua tena wewe ujue amekukubali mnaenda kuanza maisha pembezoni kwa
kupika na kula kibaba na mama. aaaaah aaaah
Nampenda mpenda naniiii nampenda... nampenda mpenda nanii... Madame XIsijekuwa bado unatumia trick hii mpaka leo, kutana na wajanja wa JF watakutoa taka za masikio.