Nampenda mpendaaa!

Ndio hako hako ka tom boy

Kumbe unamfahamu

kumbe unaweza kuwa ndugu yangu ila yule mwanamke mzuri aisehhh. nilisomaga pale PCM ila nilikuwa namezea mate kama sim tank lilijaa mate.

chenga zange nini embu nipe mwanga. nime m pm ila naona kani block
 
Aaa !! HuweZi kumpata kihivyo..
Ukinitoa kama jiwe tano namba yake nakupa.. Sasa hivi kanafanya kazi A town kwenyw NGO' s moja hivi internationally.

Mwezi wa sita nitakuja nako hapo moshi majengo.

Ungekuwa moshi ningekupigia pande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…