Nampenda msanii wa filamu Jason Statham

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Mim huyu kaka aigize sterling ama jambazi napenda tu movie zake,,

Hapa nilipo nimechelewa kwenda sehemu ilianza kuonyeshwa movie yake ya crank kama sikosei hakika huwa hakosei.

Sio kwamba anavutia kivile lakini ni ana sifa za u gentlemen pia hebu cheki hapa

 
Ulimwengu wa movie umenitenga sana nw...
 
Mmesahau kuwa upara ndo umeongeza masculine appearance yake na kumfanya awe anayevutia zaidi...
Wengine hawapendezi kuwa na upaa lakin jason anapendezea
tutaishia kuwaona kwenye tv tu hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…