Hakuna actor anayeitwa James Bond bali hilo ni jina la kubuni tu na waigizaji kadhaa wameshiriki kuuvaa uhusika wa huyo James Bond.James bond ndo chaguo langu japo Jason namkubali kinyama. Kwa mabinti napenda movie za Angelina Jolie
Je "Transporter refuelled" yumo?Usisahau "THE TRANSPORTER" part zote.
Na huyu anajua lakin mim nachagua jason
Kwahyo huwa anakumaliza kabisa? Nguo ya ndani inakuwa km imenyeshewa na mvua ya gharikaNdio mwanaume halisi bana,,,movie ikiwa haina hayo makitu haina ladha
aisee [emoji1][emoji1]Ni kweli kuna wanaume wanavutia duniani jamani wanawake wa mbele wana bahati sana
Hahahaha[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapenda jina la Jason hivyo ukampa mtoto wako au ulimpa kwasababu ya mapenzi yako kwa Statham?
hata wao wanasema wanaume wa huko wazuri kuliko wa kwao.Wanaume wa huko wazuri kuzidi wa huku kwetu jamani
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28] hahhhhaSasa wa kwetu wanawaona wapi ,,bongo movie ama?
Wa kule wamezidi wamebarikiwa vitu vingi hatuwezi lingana nao
Yaan wametuzidi kila kitu haki tena ,,,[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28] hahhhha
haya mamaa naona uko na celebrity crush yenye nguvuuu...
sio lazima bongo movie hata interaction ya kwenye social networks au tunapoenda/wanapokuja kutalii.
Mmh! ww sema unakisirani na waTz wenzako!Yaan wametuzidi kila kitu haki tena ,,,