Nampenda msanii wa filamu Jason Statham

seriously!!![emoji30][emoji30][emoji30]

miundo mbinu gani unayozungumzia kuwafanya waonekane wazuri kuliko ss?
Mazingira mazuri,afya bora,,chakula kwa wingi,,huoni hivi vitu hufanya watu waonekane wazuri
 
Kiukweli muvi zake kuanzia transpoter na zingine ziko poa sana ila hayo mengine baki nayo mkuu!
 
Yeah, nilimwita mtoto wangu Jason kwasababu ya huyu mtu, napenda sana jinsi anavyojua kucheza character yake kwenye movie ya aina yoyote
Tumeacha kutawaliwa kwa minyororo sasa ni akili JASON?
 
Jinsia pendwa imepata uzi wakupumulia..[emoji124]
 
Tusichanganye mambo haya...uzuri, urembo na mvuto..lakin kwa umoja wao hukuzwa na mazingira na uwezo wa kujihudumia...na hapa pia kunachangiwa na maono...unachokiona ww pengine ni tofauti na wanachoona wenzio...huu ni ukwel usio pingika kwa uwezo wa binadam jins tulivyo umbwa..wapo watakao mpenda jason kwa upara tu...lakin kwa saut wapo watakao vutiwa na vin diesel...haya mambo ni ver complex..
 
Transporter movie series

The bank job

The Italian job

Fast and furious

The expandables

Crank

Spy

Wild Card.

Jamaa anajua sana
Naipenda ile comedy yake kwenye spy..!
 
Vibaka???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu anakuona D ujuee
 
Nyie wadada wa jf mnapata dhambi sana kusifia hao watu wakati mimi amjaniona...
 
Ktk movies zake zote naipenda sana 'the transporter'
Wengine hawapendezi kuwa na upaa lakin jason anapendezea
tutaishia kuwaona kwenye tv tu hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…