Nampenda mtangazaji wa ITV Juleth Robart

kibori nangai

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
1,430
Reaction score
2,130
Wanajamii forum wenzanguu uvumilivuu umenishinda mimi na nikiendelea kukakaa ntaumizaa moyoo mwishoo ntaumiaa.Kama upo humuu ndanii Julieth ni PM nakuomba mimi ni kijana wa kiume mpole ,gentleman na mcha Mungu.Sikia kilio changuu na pia kama humu ndani kuna ambaye yupo anamfahamu nakuomba unifikishie ujumbe wanguuu au uni PM

Ahsanteni sana
 
Mkuu,ungefany mazoea na mtangazaji wa hyo station akupe namba
 
Hichi kituo hakijawai niangusha ila langu 1 tu, kama kuna kaka yake Shamimu Mlacha humu naomba niwe namuita shemejii!!
 
Wanajamii forum wenzanguu uvumilivuu umenishinda mimi na nikiendelea kukakaa ntaumizaa moyoo mwishoo ntaumiaa.Kama upo humuu ndanii Julieth ni PM nakuomba mimi ni kijana wa kiume mpole ,gentleman na mcha Mungu.Sikia kilio changuu na pia kama humu ndani kuna ambaye yupo anamfahamu nakuomba unifikishie ujumbe wanguuu au uni PM

Ahsanteni sana
Mbona umekopi post ya cetterhutter ya September 6 2017
Au ndo umekuja na ID nyingine kuchek upepo...ha haaaa
 
Huwa siangalii TBC1 mpaka sherehe za Uhuru...sasa kuna siku nimepitia nikakutana na hiki kifaa natural dah..ikabidi nipige picha ya ukumbusho!!
 
Attachments

  • IMG_20180124_163555.jpg
    IMG_20180124_163555.jpg
    48.5 KB · Views: 40
Huwa siangalii TBC1 mpaka sherehe za Uhuru...sasa kuna siku nimepitia nikakutana na hiki kifaa natural dah..ikabidi nipige picha ya ukumbusho!!
eeeeee na huyuu ngoshaa na wewe ni ndio kakudatishaa mh lkn sijashangaa kila mtu na mapishi yake mkuu
 
Back
Top Bottom