kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
mkuuu sijamtamanii huyo mtangazajii ninampenda aje kuwa mama watoto wanguMsubiri ukiwa na maji na sabuni akianza kutangaza umalizane nae
Shamimu Omary Mlacha...mtotoo ana jicho yuleHichi kituo hakijawai niangusha ila langu 1 tu, kama kuna kaka yake Shamimu Mlacha humu naomba niwe namuita shemejii!!
Mbona umekopi post ya cetterhutter ya September 6 2017Wanajamii forum wenzanguu uvumilivuu umenishinda mimi na nikiendelea kukakaa ntaumizaa moyoo mwishoo ntaumiaa.Kama upo humuu ndanii Julieth ni PM nakuomba mimi ni kijana wa kiume mpole ,gentleman na mcha Mungu.Sikia kilio changuu na pia kama humu ndani kuna ambaye yupo anamfahamu nakuomba unifikishie ujumbe wanguuu au uni PM
Ahsanteni sana
Shamimu Omary Mlacha...mtotoo ana jicho yule
eeeeee na huyuu ngoshaa na wewe ni ndio kakudatishaa mh lkn sijashangaa kila mtu na mapishi yake mkuuHuwa siangalii TBC1 mpaka sherehe za Uhuru...sasa kuna siku nimepitia nikakutana na hiki kifaa natural dah..ikabidi nipige picha ya ukumbusho!!
pesa kwanguu si shidaa .shida yangu nimnyake huyu mrembo wa ITVUna pesaa?