Ninampenda tu anavyowasilisha hizo habari za Udaku.Ni umahiri gani we umeuona.....wa kukusanya vipande vya udaku kutoka sources nyingine na kuongeza blah blah.
Sema hapo kwenye urembo sawa....nadhani V alitangulia kuzaliwa akakuta familia bado haijachanganyia financially, ndio maana mdogo mtu akampiga bao.
Weka picture apa mkuu! Hatumjui uyo kaka,hawa tangazaji ni sana saiviHuyu dem hata kichwani yupo njema,hata hivyo hapo TV1 anavipindi vitatu.
Unataka kusema ma-MC wamepiga shule? Nijuavyo mimi watu walio smart kichwani wanakuwa na aibu ya kuongea mbele ya kadamnasi.Kupewa uwezo wa kujiamini na kusimama mbele ya watu. Bila elimu hii huwezi.
Weka picture apa mkuu! Hatumjui uyo kaka,hawa tangazaji ni sana saivi
Una ukoo nao? Mambo ya wazungu unajilinganisha nao. Hao jamaa wametoka first world, hata kama kaishia A level au University Dropout siyo sawa elimu yako ya third world. Wewe elimu unaichukia nini au unaota kkuwa kama Bill Gates mvumbuzi wa Microsoft products? We unafikiri aliotaMarehemu Steve Jobs na Bill Gates wana elimu gani vile?!
Ex wng kipindi tupo secondaryHuyu Binti Mrembo Mimi Mars wa TV1 ananikoga moyo kwa umahiri wake Wa kipindi cha Weekend Gossip
Hakika anaweza kipindi kwa jinsi anavyotia ladha. Watangazaji wengine Wa kike igeni mfano wa huyu Binti
Huwa naacha kila kitu kumsikiliza. Mwenye CV yake please naomba.
Ushaanza uongo yani kama ni kweli ingekuwa ushakufa na ukimwiEx wng kipindi tupo secondary
wote wamezaliwa wamekta familia iko njema baba alikuwa East Africa, then akawa mkurugenzi wa AICC( kituo cha kimataifa cha mikutano Arusha) then baba akaenda nao ubalozini America ambako alikuwa mfanya kazi wa ubalozi, kwa hiyo shida ndogondogo haziku wasumbua.Ni umahiri gani we umeuona.....wa kukusanya vipande vya udaku kutoka sources nyingine na kuongeza blah blah.
Sema hapo kwenye urembo sawa....nadhani V alitangulia kuzaliwa akakuta familia bado haijachanganyia financially, ndio maana mdogo mtu akampiga bao.