Confundido
Member
- Mar 17, 2021
- 44
- 136
History sijui nielezeje,
Nilitengana na baby mama wangu, kwa muda mrefu, nakuja kumtafuta tena mshenzi yule nakuta kashaolewa na anakachanga. Hapo ndipo nikaona option nikumchukua best friend wangu ila sasa nimgumu huyo.
Ni dada mmoja mtoto wa kishua, alafu ni mlokole wale lia lia kabisa nimekuwa na urafiki naye wa kawaida kwa takribani miaka 4, nyumbani kwao wanaviela ila hawampi, hivyo kuna kipindi huwa nampa hata elfu 5 au kumi kama akiniomba, huyu dada marafiki zake wengi wanaume ila nasikia mtu akipiga saund tu anageuka kuwa adui, hivyo urafiki wetu umekuwa wa kawaida tu huwa ananiita rafiki yangu na kunakipindi anakuja hadi kwangu tunapiga story anaondoka.
Sikuwahi kusikia hata siku moja akiongelea maswala ya boyfriend au ishu za mapenzi hata nikijaribu kuchomekea Huwa anabadilika anakuwa mkali.
Nilikuwa nimepotezana naye kwa miezi kadhaa hata namba zake sikuwa nazo, nakuja kukutana naye barabarani namualika nyumbani anakuja, naanzq kumpa care ya nguvu, vocha kila siku akiniomba 2000 nampa elfu kumi, nampigia simu nimekuletea take away njoo bararani uchukue anakuja fasta, nimefanya karibia wiki 2, ila naona haelewi.
Jana aliniomba nauli ya kwenda kanisani nikampa 12k ila alivyonishukuru ndio nikajua hata haelewi "Asante rafiki yangu ulipotoa mungu akapaongezee"
Hapa sijui nifanyaje ili anielewe nampenda na Nina Nia ya dhati ya kutaka kumuoa, bila kuathiri urafiki wetu. Maisha yangu ya chini Bado najitafuta hata nyumbani kwao hawawezi kunikubali