Nampenda Mumu

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,320
Reaction score
6,686
Jamani kusema kilichopo moyoni ni nusu ya ahueni hata kama haujakipata,kuna mwanamke humu anaitwa Mumu,kwanza jina tu huwa linanisismua since day one naliona,uchangiaji wake,hata akiongea pumba naona kapatia na ninafurahia,hivi hisia nazo ni ugonjwa au?
Mumu popote ulipo naomba utambue kuwa nakupenda,je kuna yeyote ana mtu wake anampenda humu JF na anahisi hawezi kumpata au kumwambia ukweli?
kama kuna muhanga mwingine kama mimi hapa ndio sehemu ya kujiripua,hauwezi kujua,may be leo ndio siku yako...i love u Mumu...
 
acha ni-declare hapa

mimi nampenda dada mmoja humu anaitwa Madame S

kokote kule ulipo we dada, kuanzia now mimi hapa Archduke nakupenda sana nakuelewa vibaya mno nataka ujue hilo
Ni bora tukasema kabla hawajafa,maana kuna watu wana upendo wa kinafiki baada ya mtu kufa ndio wanaanza kutirirka sifa zao...
 
Ni haki na uhuru wako kabisa mkuu kutoa hisia zako kwa aliyegusa moyo wako ilimradi hujatukana wala kukejeli maana hujui kama ni mke/mchumba wa mtu, hivyo mhusika dada yangu kipenzi mumu atayaona tu maoni yako kuwa na subira
 
acha ni-declare hapa

mimi nampenda dada mmoja humu anaitwa Madame S

kokote kule ulipo we dada, kuanzia now mimi hapa Archduke nakupenda sana nakuelewa vibaya mno nataka ujue hilo
jamani, Archduke, unajua nakupenda right? Na sitachoka kukwambia nakupenda, yan hata maneno mengine ya kusema naona yameniisha Mungu akupe umri mrefu nizidi kufurahia uwepo wako maishani mwangu, i love you more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…