Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 239
Ulikuwa kama mchezo mnakusanyika watoto wa kike na kiume na mnaanza kuimba, akianza mwanamke anamachagua mwanaume na akianza mwanaume anamchagua mwanamke, wengine tulikuwa tunautumia kwa kumaanisha kile tulichokuwa tukikipenda kweli, ulikuwa ni kichocheo cha kuanza kutongoza na kufanya kweli. ole wake umchague mwanamke baadaye ikifika zamu yake asikuchague. Nani anakumbuka?