Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 239
Hahaha naikumbuka sana hio style ilikuwa ikitwa kio kiooo :bounce:Ulikuwa kama mchezo mnakusanyika watoto wa kike na kiume na mnaanza kuimba, akianza mwanamke anamachagua mwanaume na akianza mwanaume anamchagua mwanamke, wengine tulikuwa tunautumia kwa kumaanisha kile tulichokuwa tukikipenda kweli, ulikuwa ni kichocheo cha kuanza kutongoza na kufanya kweli. ole wake umchague mwanamke baadaye ikifika zamu yake asikuchague. Nani anakumbuka?
Kongosho ndo ilikuwa same group, mnanza kuimba kwanza kio kioo, afu waksiha kukamata ndo we ulio kama unanza kuiba tena nimpende nani au nimchague nani, kama sijakosea vile unajua siku nyingi sana aisay.alikivunja nani sijui sijui waongo nyie woote piteni piteni, mwa mwisho akamatwe.
Mbona sio huu wimbo?