Nampenda nisaidie jamani..!

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
134
Kuna kabinti kamoja nimetokea kukapenda..!, but nilipomweleza akanitolea nje.! Na kusema eti kana mchumba tayari, jamani wana jamvi naombeni msaada wenu nimwambie vp? Ili anielewe huyu dent maana sihemi, simung'unyi na hema tu nusu nusu kwake nimeoza, msaada plz.( sisi wote ni madent wa kidato cha 3).
 

Jaribu kuwa mwelewa, au mpaka upate kesi ya kubaka?
 
Soma Dogo wzuri wapo wengi, achana na ngono zembe.
Tamaa mbaya, UNATAMANI KUZAA WAKATI BADO UPO SHULENI?
 
wewe mtoto wa shule. kwanza unataka kuikosea heshima shule.. mapenzi na shule ni sumu..
sasa sikia kijana. jitahidi sana kumchukia hadi uwe hutaki kumuona. hii ni nafasi ya kipekee umeipata.
kumbuka kuwa wengi walioingia kwenye mapenzi wakiwa na umri mdogo wamepoteza yote. kila jambo lina muda wake.
ushauri wangu kwako ni kukuonya. tena nakukataza kuanzia leo, ukome kumsumbua mwanangu. na usipo koma nita kupa adhabu kali.

waharibifu wakubwa nyie. mimi nalipa ada ili msome kumbe mnakuja huku tena mnatuomba tukufundisheni namna ya kuharibiana masomo.. wewe,, ningekua karibu ningekuweka alama usoni ili kila atakae kuona ajue huna adabu.; acha ujinga wako soma kwanza. fisadi wewe.
 

cc siyo kwamba 2nasoma shule ya sekondary hapana 2na soma VETA mwaka wa 3
 
Mods, hv mbona mnaruhusu hizi posts za ajabu ajabu. Hizi ndiyo zinavunja heshima ya JF.

Huyu anasema wote wapo kidato cha 3.... that to me ingelitosha kuitupa hii ktk dustbin na kumpiga red card nyekundu....
 
kila kitu siasa.................hamna kitu hapo,wewe tu na kukata tamaa kwako.
 
Kanakukataa kwa sababu wewe bonge la muongo!Yaani unathubutu kutudanganya hata sisi?eti unahema nusu nusu!ungekuwa hai leo wewe?
 
kha!kudadadeeeeeki kumbe kidato cha 3 hata balehe haijaisha vizuri JF ni zaidi ya FB upuuzi mtupu..
 

Kwa hiyo we umekuja kututania sio? Tukushauri umwambie vipi, unataka tukutongozee au???
 
Naomba yeyote mwenye tusi la nguoni alipost hapa ili nim2kane mod. kw kuacha post z kise***!! na wote walomshauri!! kwanza huyu mtoto anatakiwa kula BAN kw kuingia JF wakati hajafanya HOME WORK alopewa shuleni.
 
Mods, hv mbona mnaruhusu hizi posts za ajabu ajabu. Hizi ndiyo zinavunja heshima ya JF.

Huyu anasema wote wapo kidato cha 3.... that to me ingelitosha kuitupa hii ktk dustbin na kumpiga red card nyekundu....

Halafu hata hayo maneno yanavyoandikwa, sijui hawayaoni?? Mtu anaandika kama yuko anachati na mwanafunzi mwenzie bana!!! Watatuharibia jukwaa hawa, maana naona hizi tabia za facebook ndo wanazihamishia huku!!
 


kakojoe ukalale. nyie ndo mnapoteza fedha za wazazi wenu kuwalipia ada ilhali shule mmefuata mapenzi? hivi wewe mapenzi unayajua? hapo ulipo hua a wala b unatongoza tongoza vibinti vya watu.
 
Heeh! hivi kumbe kuna vitoto vidogo vya sekondari humu ndani?
 
Kweli nimeamini kumbe JF kuna new generation kibao..
wewe denti kidato cha tatu badala ya kusoma unateswa na mapenzi
OMG!
Nachokushauri soma kwa bidii ili ufanikiwe malengo yako
 
Ngoja niende nje nikapate upepo kidogo
Jf never boring
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…