Nampenda rafiki wa dada yangu

Rafiki wa dada yako anatokewa tu hakuna shida sema tatizo hapo ukiharibu tu unaweza ukaharibu na uhusiano wa wao wawili
Ebana sifikirii kuhalibu hapa mana Du mwenyewe anajiheshimu sana.
 
Through my experience kama hutak kumuoa usimtongoze, mimi ilishatutokea home dada yangu alikuwa na best yake wa o level na a level yaan mashost balaa kosa kubwa lilikuja kutokea pale kaka yetu alipoanza uhusiano na huyo rafik wa dada, urafik wao uliendelea vizur tu hadi sisi madogo tukifurahia as tena anakaribia kua shemej yaan full raha nakumbuka kwenye graduation niliandaliwa suprise party hiyo si mchezo tena na shemej wakat sister amesafir yaan alitoa bonge la sapot kwa b mkubwa kuandaa shughul nzima,

Balaa ambalo halitasaulika kwenye familia yetu ni uhusiano wao ulipoanza kulega lega as yule dada alianza kugombana na dada yangu kuwa anamchongea kwa kaka ili aachwe maana kaka alikuwa nje ya nchi so taarifa mbaya alikuwa anapew na dada yangu, basi urafik ukapungua hata baada ya bro kurud ikawa sio kivile na after sometimes wakaachana, baada ya kupita kama mwaka kaka si akatangangaza kuoa bint mwingine kabisa hapo ndo shost alipofurumuka na kuanzisha bifu na dada yangu la kufa mtu na aliahid kumuua.. Yaan ilikuwa bonge la ugomvi lililohusisha hadi familia na urafik umekufa mpaka leo,

Watu hawakuamin kama hawa mashost leo ndo maadui wakubwa hivi kisa mapenzi, yaan ukiangalia picha zao za utoton, ukija za kifungiro enz wapo sekondar za chuo na kwingineko yaan full upendo huwez amini leo ni paka na panya japokuwa wanatoka the same neighbourhood,

So kama haupo serious please usiharibu urafiki wao kaa mbali kabisa kulinda heshima ya dada yako na rafik yake
 
Kumtokea rafiki wa kike wa dada yako ni mbaya?.Coz nimetokea kmpenda rafiki wa dada yangu but naona noma kemtemea madini nahic sister anaweza nifikiria vibay,Nifanyeje wa kubwa.


kesho rafiki wa mama kesho kutwa rafiki wa bibi
 
nidham mbele mkuu.


mlolongo ndo huo kama hueshimu rafiki wa dada humuangalii kama dada wa nani utamueshimu mbona kama hii kitu inagugusa nawewe pia hujaacha hii tabia na nilikukanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…