Prof Mgaya ni mtu sahihi zaidi kwa tatizo hili, japo ameshastaafu Muhimbili, anafundisha tu kwa contract. Ana clinic yake inaitwa 'Maria Clinic' pale Mbuyuni karibu na Namanga (opposite na ule Mbuyu kabisa). Nafahamu kuwa anafanya sana operations za kurepair 'uke'...hata uke wa 'ajuza' anaweza urepair ukawa kama kabikiriwa juzi...nenda ukamuone amuexamine athibitishe kuwa ana hilo tatizo (japo nashangaa anapataje hedhi kama hana kabisa tundu?) na atakushauri nini cha kufanya.