hamic mussa
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 227
- 20
- Thread starter
-
- #21
Jaribu kuona ni kawaida na usioneshe kukerwa na hiyo hali na dhani utamzoea sababu ina wezekana ana kupenda kweli lakini ndiyo alivyo.
Kama kweli unampenda, mchukulie jaribu kumuelewa zaid jaribu kujua nini anapenda na nini hapendi!
Huyo nahisi anafanana na mdogo wangu huwa namsikia akiongea na boyfriend wake kwenye cm kwa hasira! namkanya hanielewi. Pombekali kanifurahisha sana manake kasema ukweli huyo anataka kukucontrol. Cha kufanya muonyeshe kama ww ni mwanaume na utabaki kuwa mwanaume, siku nyingine akinuna mchunie mwambie akijisikia kuongea akwambie. Hakikisha hakudhalilishi hata siku moja, manake mtu wa hivyo siku utampeleka hata kwa ndugu zako ataenda kukuabisha huko. Usimuendekeze hata kidogo unless huna future naye.
weka jokes, weka jokes, kuwa haujali mambo akinuna weka jokes, wajua ukonesha kujali , sijui umambelleza ye ndo atazidi kujidai mkali , assumu hujali vvile
hii kitu nime i experience , hata mimi wife alikuwa wa kununa nuna ila kila akiona sijali natia utani , yeye pia ana respondi vizuri ingawa kwa siku za kwanza sio rahisi , waweza kuoleta utani na kuondoka zako , huku unaleta mbwembwe , but kuwa careful usiongee kitu kinaweza m-boa, leta utani jiko limenuna linataka kanga kavu , ngoja nkanunue , na kweli una mlete chochote kizuri , then mtakuja kuwa sawa tu
kaka kuwa creative , wanawake wanapendaa kusifiwa na vizawadi , just onesha una care , ila usije ukadhubutu kumbembeleza hamic mussa , ukimbeleza ugomvi utakuwa siku nzimawe mkali utani wako nimeupenda.
ngoja mm nipite tu maana mapenzi yenyewe kwangu mm yako kushoto.
Labda anaona aibu kukwambia au ananuna bila sababu, yaani ni tabia yake, jifunze kuishi na hiyo hali, n umeambie ukweli kuwa hufurahii hizo moods zake, kwa upendomi nkimuulizaga hapendi nini ananiambia anapenda kila kitu kutoka kwangu hp nd'o huwa nashangaa.
hakikisha usimwudhi,halafu uwe unambembeleza
ndo manake,awe na moyo,sasa kama mtu amenuna utafanyajeKama Roma, eeh
Mi naona uvumilivu ni jambo zuri, hata mm wf alikuwa hivyo ila kwa kuwa alikuwa ananipenda mi nikamvulia na sasa kafikisha miaka km 33 kaacha iyo tabia, nikagundua ulikuwa utoto na wakati ule alikuwa km na 25 years hivi, sasa mambo kwa matari, so km unampenda na ni fighter kwa maisha we mavumilie tu akikua ataacha.Ila jitahidi kutomkasirisha mara kwa mara.
Kama Roma, eeh
Kama wewe kakwambia anakupenda na wewe umesema unampenda basi haina shida.Tabia zingine ni za kuzaliwa huwezi kuzibadilisha.
Anadekea chake....