hamic mussa
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 227
- 20
- Thread starter
-
- #41
Labda anaona aibu kukwambia au ananuna bila sababu, yaani ni tabia yake, jifunze kuishi na hiyo hali, n umeambie ukweli kuwa hufurahii hizo moods zake, kwa upendo
kama Roma au kama marlaw?
he excellent, upo? sijakusoma leo mdogo wangu kha!hakikisha usimwudhi,halafu uwe unambembeleza
he excellent, upo? sijakusoma leo mdogo wangu kha!
Nipo my dia,nimeamka saa nane aisee,vipi lakini uko poa my sis?he excellent, upo? sijakusoma leo mdogo wangu kha!
Una bahati sana wewe sema hujajua,mwanamke anayekasirika na kununa akianza kutabasamu jua ugomvi umeisha,ogopa mwanamke ambaye kila ukimkosea anajitia hamnazo,mwanamke wa hivo ni hatari sana na ukilala usingizi anaweza aku bobitt.
pole sn kama umeshagundua uzaifu wake basi umeshafauru kuishi nae akinuna bila ya sababu uwe unamuacha bila ya kurumbana nae then kukiwa na sababu basi usisite kumweka sawa utaona mabadiliko makubwa.
karibu tena.nashukuru kwa ushauri wako.