Nampenda sana Mahondaw

Were at mi pia nampenda sana uyo motto at sjui nimhonge nni ili nimpate day !!!
 
At mi pia nampenda sana at sjui nimhonge nni ili nimpate at dah!!!!
 
Umeona sasa unavyonipiga chini kijanja???

Mi namuachia Mungu tu.
Asallam aleykum,
Penye moshi lazima kuna moto.
Maalim unavyolalamika kama mtoto mdogo lazima neema za Allah zimejaa tele.
Inabidi nianze kujiweka karibu ili nihakikishe.

(Habari dada yangu? Nakusabahi Ms.Lincoln
 
Kwa hili neno lazima ID ziingiie mitini. Na hata zikirudi zitaComment ili mradi wasikubali kushindwa.

ASANTE PEP
 
Amezeeka sana huyo. Angalia mgongo wa vidole. Muulize umri utachoka 22yrs. Mchaga akikutajia umri wake to a 7 yrs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…