Nampenda sana Mimi Mars mpaka nahisi kuugua

Imebidi nirudie kusoma mchango wangu mara mbili mbili kuangalia kama kuna mahali nimejiongelesha kuhusu hii shutuma yako, Nikahisi kuwa wewe unaweza kuwa uko kwenye mafunzo ya unajimu au uchawi wa utambuzi na kwahili umefeli mafunzo yako ya utambuzi.


Usihofu, you are still safe with me, ila bado nina mshaka sana na wewe na wanafunzi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…