Nampenda sana miss chaga

Mmmh..
miss Chaga tunatoana ngeu huku ujue!!
[emoji23]
 
Mimi sijaelewa,kuna uzi.umeanzisha unampenda mume wa mtu,
Hapa kwenye huu uzi unasema unampenda miss chaga. Tukueleweje...wewe ni ME ama KE..embu weka wazi jinsia.yako kwanza
 
Pesa unayo
Halafu una uwezo wa kugegeda vilivyo?
 
Miss chaga kuja huku mtu kaoza usije baadae kulia zali la mentali hili
 
Mtongoze jalibu bahati yako mkuu
 
Alafu acheni kutuona mazuga humu ndani.... Jana tu umekuja na thread yako ukidai unampenda mume wa mtu, leo yamekuwa ya Miss Chagga aka Kungwi.....

Kama wewe ni me, kuwa Me kweli. Acheni kujidai jinsia ya tofauti kwa malengo yenu. Mtajiumbua tu maana mtasahau uhusika mliojiwekea.

Nampenda mume wa mtu
 
Mkuu ni Bora hata Umetoa la Moyoni, LA MOYONI HUITESA NAFSI.
Ila hujasema Ni upendo Upi
 
Akikujibu nishtue
 
Kuna watu wana tuchezea akili humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…