Nampenda sana mpenzi wangu

dedication tamu sana hii ahsante mkuu ngoja niutafute nimuwekee asikilize
 
Hongera sana mungu awajaalie mapenzi yenu yadumu milele na milele,ukiwa muwazi kwa kila ulifanyalo,ukimuonyesha unampenda kwa dhati,hakika atakuamini
 
Hongera sana mungu awajaalie mapenzi yenu yadumu milele na milele,ukiwa muwazi kwa kila ulifanyalo,ukimuonyesha unampenda kwa dhati,hakika atakuamini

nampenda kiudhati kabisa,na nashukuru Mungu ameanza kulitambua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…