Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Nimekiona tuu mimi dear kama mtoa mada alivyoona cha Relief[emoji13][emoji39][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
π[emoji19][emoji19][emoji19]
Bingo[emoji1491][emoji39][emoji12]
Nimekiona tuu mimi dear kama mtoa mada alivyoona cha Relief[emoji13][emoji39][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante bidada kunitetea..yaan kanishupalia huyo jana nzima nimeshinda namwelewesha hhahaa mm siwez kbs kuandika.haya watoto waandike na mm mama yao niandike[emoji23][emoji23]...khaa!
Waambie hao, jicho kwa mchuzi[emoji13]... Today onwards I will only squeeze my lines with this flavour[emoji39]
Au ulishaonyesha dalili za kumwelewa aliyejidondokea? Sory ni mdondokewaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani wewe mkaka napenda jinsi unavyo socialize na watu. Sema unaringa wakati mwingine. Ovyoooo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbutaa!
Mbura na[emoji23][emoji23]Mbutaa!
Hahahahahaha....hamna...mara ny8ngi mie na relief huwa tunasigishana sana sana sana ...yaan sijui nisemeje..!bt ni mkaka poa tu nadhan
[emoji87][emoji87][emoji87]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
My ability to immobilize will cover this shortfall of maringo
ππππ usinikosanishe na relief bwana...ila huyu mchizi anajua kupenda nyie!...!yupo romantic..nadhan mdada akashindwa kbs kuunga juhudi za Rais akaamua kucjepuka
Unajua maana ya mbuta[emoji23]
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87] usinikosanishe na relief bwana...ila huyu mchizi anajua kupenda nyie!...!yupo romantic..nadhan mdada akashindwa kbs kuunga juhudi za Rais akaamua kucjepuka
Unajua maana ya mbuta[emoji23]
Akijibu usinisahau please[emoji23]Hebu subiri hapa hapa. Anajua kupenda na yupo romantic (weka kituo) haya tupe case study itakayosuport your argument.
Sent using Jamii Forums mobile app