vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
Basi mororo,kama vipi huyu hapa kwenye link hapa chini!Halafu ni kabinti kadogo kweliHabari wakuu....
Mimi huyu binti namzimia sana swaga zake....Ana kalafudhi flani hivi katamu...Swaga zake huwa zinanifanya nimvutie picha kama TomBoy flani hivi....
Wazee wa mafaili em nisaidieni nimfahamu vema huyu mrembo....Mwenye picha atakuwa ametisha sana
Mi mwnyw namkubali kinoma, sema picha zake adim sana.Habari wakuu....
Mimi huyu binti namzimia sana swaga zake....Ana kalafudhi flani hivi katamu...Swaga zake huwa zinanifanya nimvutie picha kama TomBoy flani hivi....
Wazee wa mafaili em nisaidieni nimfahamu vema huyu mrembo....Mwenye picha atakuwa ametisha sana
Nataka nitoe maoni/ushauri kwa Khadija Mzee..Mwenye mawasiliano yake plsssss!!!!Aaah mm nimempenda yule mtangazaji wa Jamii Forums Television aitwaye Khadija Mzee
mtoto wa kibantu hasa meno yamepangika na anatabasamu la kipwani maashallah
ana rangu ya asili hata mavazi aliyotuvalia kila siku yanapendeza
Aaah mm nimempenda yule mtangazaji wa Jamii Forums Television aitwaye Khadija Mzee
mtoto wa kibantu hasa meno yamepangika na anatabasamu la kipwani maashallah
ana rangu ya asili hata mavazi aliyotuvalia kila siku yanapendeza
Anafaa kwa uigizaji kuliko utangazaji.
Yaani ni kama uji kisha umeuwekea jina lako imekwenda mahala pake huyu bi khadija mrembo wa kibantu khaswa.Aaah mm nimempenda yule mtangazaji wa Jamii Forums Television aitwaye Khadija Mzee
mtoto wa kibantu hasa meno yamepangika na anatabasamu la kipwani maashallah
ana rangu ya asili hata mavazi aliyotuvalia kila siku yanapendeza
Mbona yupo kawaida hana huo u tomboy au umetumia jicho la tatu kama mshana?Basi mororo,kama vipi huyu hapa kwenye link hapa chini!Halafu ni kabinti kadogo kweli
Wafahamu watangazaji wa kipindi cha Niambie: