Nampenda sana Shunnie

RAYAN THE DON

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
679
Reaction score
1,218
Habari wana MMU?

"Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua"

Kiukweli inanibidi niwe tu mkweli ili niweze kuifanya nafsi na moyo Wangu kuwa huru.

Ni kwamba nimetokea kumpenda sana mdada anayetumia ID ya Shunnie.Ninaposema nampenda namaanisha kuwa nampenda sana.

Shunnie, wewe ndiyo umesababisha nijiunge JF ili niweze kupata chance ya kuwasiliana na wewe na kuweza kuonana kama itawezekana ili tuweke mambo sawa na kama tutaridhiana nipo tayari kabisa uwe mke wangu.

Shunnie najua hapo ulipo una mtu wako na kama haujawahi kutangaza ndoa basi tambua huyo hana lengo zuri na wewe.

Mrembo Shunnie naomba ufungue moyo wako ili unipe nafasi katika ulimwengu wako wa mahabati. Nami nijihisi kidume peke yangu katika ulimwengu huo.

Mpende akupendaye Shunnie.
Nakupenda sana Shunnie. Naomba unielewe. Malengo yangu kwako ni mazuri Mrembo Shunnie.Sita mere dating but dating ambayo mwisho wa siku itazaa tunda la ndoa.

Naomba unielewe Shunnie. Nakupenda sana. Usiku silali, nakuwaza wewe na hata nikilala simpati usingizi unaotakiwa maana muda wote nakuwaza wewe.

You really drive me crazy.... Shunnie.
 
Mume wa Shunie ni dereva wa masafa marefu DRC
 
Mkuu The Boss nimeangalia mabandiko mengi kule kwenye siasa sijakuona ukiongea chochote kuhusu kadhia hii ya xenophobia, najua umetembea kidogo nje huko, hii unaionaje kaka?
Mkuu kwema? Mkuu mbona unaleta thread juu ya thread tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…