mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
una fikra mgando weye mmh pole sana.Alikuwa na kazi yake nzuri.
Lakini nampenda sana kiasi kwamba nilikuwa namuonea huruma sasa nimemwachisha kazi ili asipate tabu.
Halafu kuna suala la wivu. Huko alikokuwa anafanyia kazi kuna majamaa kibao. Sikuwa na imani.
Nimemwachisha kazi sasa amepumzika nyumbani, nikirudi namkuta. Ndio furaha yangu.
Alikuwa na kazi yake nzuri.

hajafikiria mbali. Kiukweli inakera, kama ni mimi ningemwambia anipe mshahara na posho zote kila mwezi.Mimi huo upendo hata siutaki kwa kweli!....Huo wivu mbaya kwa kweli...huyajui ya kesho....🙁
Majamaa yakitaka na kutakwa hata kitandani kwako yatalala na chakula chako yatakula.
highlighted, ndio siku atakayomtafutia kazi ya kufanya nje ya mkoa wanaoishijambo la ajabu sana hili
Yaani unamwachisha mkeo kazi kwa sababu ya wivu
Hiyo mijamaa ya ofcn kwake alikuwa na uhusiano nae
Je mchana kutwa unamlinda asitoke nje ya nyumba yako
hivi siku utamkuta na mtu ndani ya nyumba yako hiyo hiyo utasemaje
maamuzi mengine ya ajabu sana
Mimi huo upendo hata siutaki kwa kweli!....Huo wivu mbaya kwa kweli...huyajui ya kesho....🙁
jambo la ajabu sana hili
Yaani unamwachisha mkeo kazi kwa sababu ya wivu
Hiyo mijamaa ya ofcn kwake alikuwa na uhusiano nae
Je mchana kutwa unamlinda asitoke nje ya nyumba yako
hivi siku utamkuta na mtu ndani ya nyumba yako hiyo hiyo utasemaje
maamuzi mengine ya ajabu sana
highlighted, ndio siku atakayomtafutia kazi ya kufanya nje ya mkoa wanaoishi
Hongera sana! katika maisha ya leo, majuku yalivyotele - kuliendeleza taifa na nyie wenyewe - halafu mpenzi wako asipofanya kazi - unataka afanye nini? Haishangazi kuona taifa linakuwa goigoi. Pili, kufanya kazi ni haki binafsi ya mtu, huwezi kumuachisha kazi tu mwenyewe, labda mtu mwenyewe awe mvivu, hajiamini, na unamkandamiza tu. Ni kosa la kiutu hilo na sheria pia
Kwa hyo we unaona ni sifa mkuu?
Home kuna dada wa nyumbani pamoja na majirani, wataning'ata sikio tu.
naomba nijue wivu ndio facilitating factor na pia huo uamuzi ni wako mwenyewe ukiwa sound mind kabisa